Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

There is a reason kwanini wanatokwa mapovu

Kama wanatokwa mapovu yanini mnawaletea mauzi ya kuwataka waje kwenye hizo forex?

Achaneni nao,msiwaletee hizo mnazoziita eti ni "fursa"!
Sikiliza, watakao ona inafaa watachukua, na nyie mnaoona haina maana basi piteni kando ! mbona ni rahisi sana kuelewa
 
Nauliza tena Kunatofauti gani kati waliouza mafuta ya mbegu za ubuyu na Rupia ya mjerumani na Bitcoin... Mbona swali linazungukwa tuu hili!?

We Mleta Mada.. wengine Kaka zenu humu.. mnapoulizwa mnajibu .. sio mnatuacha na vipara vyetu tunabung'aa tu..

Haya pita mbele uanze kujibu.. mara moja.. Nisije muita rapper wa Arusha akunyooshe!

😀
 
Kwavile Financial Markets inatoa hela kwa sekta zote hivyo wote twende Forex na Bitcoin?

Be serious wewe!
Nani kasema wote twende ??.. soma tena uzi wangu paragraph mbili za mwisho.. usinilishe maneno.. ndo mana natumia neno financial markets.. naongelea instruments zote.. sio tu bitcoin na forex..
 
Jaribu kuwa objective kidogo ili ujibiwe maswali yako. Sasa wewe mambo ya mbegu za Ubuyu huku unayaleta tukujibu nini wakati watu wanazungumzia jambo lingine? huoni kama unawatoa watu kwenye mjadala
 
Umelazimishwa vip mkuu.. kwani nimekushika mkono? Bundle lako simu yako bado unalalama unalazimishwa.. hivi unajitambua vema??

Nikiona unapotosha nilichoandika siwezi kukaa kimya..
 
Forex imebadilisha watu wengi sana mkuu from nothing to something, hawa wanaifananisha na haya ma pirramid ya mtaani.
Sio tu forex.. financial markets nzima imekuwa na faida kwa watu.. yaani kusema tu hivo basi.. watu wanadhani eti ni unataka kuwalaghai watu..
 
Sio mjanja hizi mambo wanafaidika wachache sana ni sawa na betting, forex, wengi huwa wanachakazwa kwa kupata hasara, ila wajanja wananufaika kwa CCM
Si unajua hakuna biashara rahisi..
 
Mentality ya watu tayar ipo corrupted.. yaani kuleta tu uzi wa aina hii.. kuna tayar wanadhani eti nataka kuwatapeli akati sijawaomba hata kumi..

Yaani watu hawaangalii upande wa elimu wanaangalia pesa na kutapeliwa.. ni mentality za kimaskini
Unajua ni kwanini wanahofu kuwa wanaweza kutapeliwa? Kwa sababu nchi kama Bongo hakuna mtu ''anayepigia debe'' tena kwa nguvu zote kueleza watu njia za kuwa matajiri. Unakuta mtu anatumia nguvu na muda wake kuwasihi watu wafanye jambo fulani eti watatajirika! uzoefu wangu unaonyesha watu wengi kabisa wakipata channel ya mchongo hutaka watu wengine wasijue hata kidogo na wapo tayari hata kufanya hujuma ili wengine wasijue. Sasa wewe huu wema umetoka wapi?
 
Huwezi fananisha hayo mavitu na Bitcoin.. kwanini usi google ukaelewa zaidi?
 
Jaribu kuwa objective kidogo ili ujibiwe maswali yako. Sasa wewe mambo ya mbegu za Ubuyu huku unayaleta tukujibu nini wakati watu wanazungumzia jambo lingine? huoni kama unawatoa watu kwenye mjadala
Kwa definition ya Money.. Je Bitcoin inakidhi!?

Is Bitcoin a product!? Or a means for exchange!?

Who regulates and guarantee the value for Bitcoin!?

What backs Bitcoin's value!?


As for forex

Ningependa kujua two world class institutions ambazo zinadeal na Forex tuu.. yaani that's their main business.

They buy and sell money/currency

If not, why hakuna!?

Tuanze hapo .. does that seem objective enough!? To begin!?
 
@Naantombe Mushi
 
Mkuu ungejaribu kujishughulisha kidogo maana google wamejibu maswali mengi uliyoyauliza, Jaribu kuitafuta elimu ya suala husika before hujaja public ku criticize, maana inaenekana kabisa wengi wenu mpo kupinga ilhali hamna hufahamu na suala husika
 
Maana yake ni kwamba kwenye financial markets hakuna price ambayo ni too high or too low... Price ina move popote..

Kuna watu huwa wanadhani price ikiwa ndogo sana ndo opportunity ya kununua.. ama ikiwa kubwa sana basi inatakiwa kuuzwa.. sivo ilivo
Kwaiyo hapa unataka kuzungumzia nini. Embu nipe uwelewa wako kwenye suala la kuuza na kununua au currency

Prediction zako ni zipi mpaka March mwakani kwenye BTC kana kwamba rate ya btc 1 itaendelea kupanda au huwenda ikashuka ?
 
Kuna watu huu uzi umeshakuwa msaada mkubwa kwao, infact siyo kila mtu uzi huu utamfaa, hivyohivyo katika masuala mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…