Nitazipatia wapi sabuni za miche za poa za kampuni ya MeTL kwa bei poa?

Nitazipatia wapi sabuni za miche za poa za kampuni ya MeTL kwa bei poa?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Nipo Mkoani Simiyu Wilaya Ya Meatu.

Huwa nanua sabuni hizi kwa bei kati ya 10500,10800 au 11000.

Hizi bei na karibu katika maduka yote ya jumla jumla hapa Mwanhuzi.

Ningependa kudeal na ununuzi na uuzaji wa sabuni hizi peke yake kwa ujumla na kisha kuziuza mwenye rejareja huko vijijini.

Ni vipi na wapi naweza kuzipata kwa bei chini ya 10200?
 
CONTROLA najaribu kumtoa middleman,najaribu kupata faida zaidi

kwanza nilianzia kuzinunua kwa 11000 Kwa Box Moja Na faida nikawa napata 1000,kisha 10800 faida ikawa 1200,nikaona isiwe tabu nikapangua middlemen nikaanza kununua kwa 10500 faida ikawa 1500.

Bado Sijaridhika Nataka Ninunue Kwa 10200 Faida Iwe 1800.

Finally Ikiwezekana Mzigo Niupate Kwa Bei Chini Ya 10200
 
Root
kama unachukua kwa 10200 kwa box,inachukue mzigo wa tsh ngapi?

na pia kama ni kwa bei chini ya 10200 inabidi nichukue wa tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom