Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
KAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri yapi na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.
Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na Tabora.
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app