Nitegemee mazuri au mabaya yapi nikipanda basi hili?

Nitegemee mazuri au mabaya yapi nikipanda basi hili?

KAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri YAPI na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.

Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na tabora.


View attachment 3017120

Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Ongea na kadogosa akupe utaratibu hiyo ni treni ya SGR ya lami
 
We panda tu mkuu hizo gari ni mara chache sana kusikia zimekula mbanga.
Ila tabora hivi kukoje aisee, sionagi taarifa kuhusu huo mkoa..
 
KAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri yapi na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.

Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na Tabora.

View attachment 3017120

Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Panda tuu mkuu, zinatembeaga na mafundi
 
Tegemea kunguni na lugha chafu kutoka kwa wahudumu.
Maana hapo abiria na wahudumu wote ni wavuta bangi
 
On engineering aspect, nawapa kongole waliounda hiyo body kwenye air resistance it is almost 0 (N). Good job.
 
Back
Top Bottom