halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Tanzania kuna aina nyingi sana za utalii. Hilo basi ni kivutio pia, nusu basi nusu electric train.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea na kadogosa akupe utaratibu hiyo ni treni ya SGR ya lamiKAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri YAPI na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.
Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na tabora.
View attachment 3017120
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Panda tuu mkuu, zinatembeaga na mafundiKAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri yapi na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.
Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na Tabora.
View attachment 3017120
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Maana yake kama umepanda na hujapiga gambe bas jiandae kupata tabu chuma ikianza kuamsha popo.Hapana mkuu hili linaitwa IGEMBE NSABO
Barabara zinakopitaga hata speed limit hakuna. Ni busara za dere tu😀Mkuu,una maanisha zinakimbia zaidi ya speed limit ya barabara husika?
Maana yake jembe ni mali.Hapana mkuu hili linaitwa IGEMBE NSABO sijui maana yake nini au ni jina la mtu[emoji848] JUU NDIO KUNA HILO NENO KUBWA MASALANGE shughuli ipo