Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
licha ya ubovu Noah ni hatari sana kwa safari ndefu hasa zenye barabara za magari makubwa, panda hiyo mashine tu 🐒KAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri YAPI na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.
Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na tabora.
View attachment 3017120
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Ilikuwa ni private car tu mkuu Ilikuwa inaenda singida kwa hiyo nilipanda kama zile gari za IT one trip one disappearpanda ulilopanda wakati unaenda uko bush.
Mkuu,una maanisha zinakimbia zaidi ya speed limit ya barabara husika?Imara sana hizo gari. Zinakimbia balaa
Hapana mkuu hili linaitwa IGEMBE NSABO sijui maana yake nini au ni jina la mtu[emoji848] JUU NDIO KUNA HILO NENO KUBWA MASALANGE shughuli ipoMbona lina kichwa kama kichwa cha ile Treni ya umeme ya nchi fulani? Au linatumia umeme na lenyewe?
AIRBEGI NI BEGI LAKO, MUUNDO WA ILO GARI NI SAWA UPO KWENYE KALAKALANA LA VYUMAKAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri YAPI na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.
Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini konda ananiambia Noah ni mbovu zinazima zima njiani mkumbuke niko huku kijijini kambikatoto kwa mbele karibu na tabora.
View attachment 3017120
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
basi panda hio nganganga,,ila ukifka tafta dawa za kutuliza maumivu ya kichwa,,zenyewe hua na vyuma vinagongana hatakama ni lami, that's why nmeita ngangangaIlikuwa ni private car tu mkuu Ilikuwa inaenda singida kwa hiyo nilipanda kama zile gari za IT one trip one disappear
Sent from my OPPO A37m using JamiiForums mobile app
Panda tu mkuu,Mungu atakusaidia utafika tu salama.Hapana mkuu hili linaitwa IGEMBE NSABO sijui maana yake nini au ni jina la mtu[emoji848] JUU NDIO KUNA HILO NENO KUBWA MASALANGE shughuli ipo
kama chuma ni ya masarange basi njiani aiachi raiaChuma la Masalange! Hapo Loto Mlima!
Si umeona hapo adverts ya kwanza Konda kamwambia achana na Noah... Zinazimika hovyo! Hapo chuma kinang'ata kwenye pale kwenye bonet pembeni ya dereva.kama chuma ni ya masarange basi njiani aiachi raia
Mimi Mwenye nilivyo liona tu nimekubali kwamba leo nimeyatimba japo kuna akili inaniambia sura sio rohoHahaha, leo umeyakanyaga Mkuu.
Nimepanda gari kama hizo kutoka Mbeya kwenda Rungwa kupitia hapo Kambikatoto ni balaa.. kwanza inakimbia lakini ni salama. Nyingi utakuta hazina mkanda na barabara ni zimepinda kinoma jipange pa kujishikilia, utaruka ruka sana.
All in all utasafiri salama usijali.