Niteke ya Maua Sama

Niteke ya Maua Sama

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kwangu me hii ngoma ndio ngoma yangu Bora kwa mwaka huu.Wakati maua sama ametoa iokote nilizani amebahatisha hi ngoma ilikuwa kubwa sana kuliko jina la maua sama nikajiuliza je ngoma inayofuata itaifunika iokote bila Shaka maua sama kapindua meza ndio ikatokea hi ngoma.

Hi suala lilimshindwa darassa amwae alitoa muziki ngoma zilizofuata baada ya hapo azijafanya kutokana matarajio makubwa ya mashabiki lakini maua sama ameni prove wrong.

Intro tu ya niteke inakuambia hii ni hit before hata ujaisikiliza ngoma yote.Sifa nyingne ya hii ngoma haoichoshi na pia haichuji.Ukiisikiliza hi ngoma unatamani wewe ungekuwa mwimbaji ingawa wewe sio msanii.

Big up maua sama pamoja na producer aliyekutengenezea hii ngoma ameonesha ubunifu mkubwa sana. Sema tu maua sama Hana exposure kubwa angekuwa ana exposure kubwa hi ngoma ingekuwa kubwa Africa nzima kuliko ngoma yoyote.

 
Utakua hujaisikia ndo maana unasema hivyo.

Nimeusikiliza sana tu ata kwenye simu ninao. Labda mimi ndio sijauelewa maana Music kila mtu ana radha yake.
9D8FE94A-7D1A-4214-BAC1-758EB405FB98.png
 
Bounce Low ; Maua Sana ft Vanessa Mdee bonge la Ngoma , sema huwa naona noma kuiskiliza mbele ya watu.Imekaa kike Sana.
 
Sina doubt na uwezo wa Maua, ofcourse sijaanza kumsikiliza leo wala jana
 
Back
Top Bottom