Nitengenezee "rost"

Nitengenezee "rost"

Translator

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
286
Reaction score
297
Ukienda kwenye sekta ya maakuli utasikia hapa kwetu watu wanasema
"Nitengenezee nyama roast."
Au
"Tuna wali roast"

Akileta inakuja imekaangwa!

Lakini "roast" maana yake nini?
Ni kuchoma kwenye makaa ya moto kama vile viazi au nyama
lakini sio kukaanga kwenye mafuta.

Kukaanga ni "frying" sio "roasting"

Anyway, ndio maisha.
 
Back
Top Bottom