Dume kongwe
New Member
- Dec 12, 2022
- 4
- 1
Habari
Nina Corolla XE 111 ambayo ipo sawa safari popote na haijawahi kuniweka njiani nashukuru katika safari zangu za Tanga to Dar.
Hii ina 4E engine Cc 1330.
Nataka walau kusogea sogea kidogo hivyo kuna jamaa ana Funcargo tumeafikiana nimuongeze na M1 ila bado sijafanya maamuzi nikaona nije kwa wajuzi nipate mawili matatu, je itakuwa sawa?
Gari yake ipo vizuri ina 2NZ ila imerudiwa rangi low quality hivyo itabidi nikaing'arishe upya.
Aina ya Corolla ni hii