Nitoe Corolla XE 111 anipe Funcargo?

Nitoe Corolla XE 111 anipe Funcargo?

Dume kongwe

New Member
Joined
Dec 12, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Habari
Nina Corolla XE 111 ambayo ipo sawa safari popote na haijawahi kuniweka njiani nashukuru katika safari zangu za Tanga to Dar.

Hii ina 4E engine Cc 1330.

Nataka walau kusogea sogea kidogo hivyo kuna jamaa ana Funcargo tumeafikiana nimuongeze na M1 ila bado sijafanya maamuzi nikaona nije kwa wajuzi nipate mawili matatu, je itakuwa sawa?

Gari yake ipo vizuri ina 2NZ ila imerudiwa rangi low quality hivyo itabidi nikaing'arishe upya.

Aina ya Corolla ni hii
20230424_031635.jpg
 
Aina ya Corolla ni hii View attachment 2597590
Chukua ndinga hiyo ipo vizuri ukiachana na muonekano wa bodi, maana hicho tu ndo wengi hawakipendi kwenye hyo gari. Kama ipo vizur utaifurahia sana hasa kwenye matumizi ya mafuta.

Kuna jamaa yangu alikuwa nayo alikuwa anaweka mafuta ya elfu 5 kwa kipindi kile ilikuwa lita 3 na pint akawa anapata 70Km.

Pia ina nafasi ya kutosha.
 
Shukran mkuu
 
Njoo nikupe Mazda Demio ya 2004 namba D utese mjini! Niko Tabora! Contact 0782372010
 
Chukua Funcargo hiyo bodi yake ni ngumu na ina space kubwa ndani na mafuta iko vizuri
 
Back
Top Bottom