mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Naomba niwape ushauri wa kuwamaliza hawa viumbe.
Kwanza kabisa mfumo wa dar umekaa tofauti sana na mikoani, ndio maana huwezi kuona magenge haya ya waharifu katika mikoa mingine, watu wanao tamba bara barani na kufanya uharifu.
Ingekuwa ni mkoani tungetumia mbinu ya sungusungu kumaliza hili tatizo kwa weredi, lakini dar wanaume wa dar kumudu kazi hii ni changamoto na pili sungu sungu wenyewe waweza kuwa panya Road.
Mimi ushauri wangu, Jeshi la polisi liunde operation maalumu ya panya Road, na kumteua kamanda Mohamed Msangi kuongoza operation hiyo
Kikubwa asichaguliwe watu wa kufanya nao kazi na asifundishwe mbinu za kufanya kazi.
Mimi nawahakikishieni usiku mmoja tuu wa tarehe 03/05/2022... utatosha kabisa kuwatuliza panya Road.
Jaribuni mtakuja kunishukuru baadae.
Naitwa mtwa mkulu Mngaya sida