Nitoe ushauri wangu hapa kuwamaliza kabisa panya Road

Nitoe ushauri wangu hapa kuwamaliza kabisa panya Road

Mngefanya nini nyie .
Acheni kujipaisha.
Unaijua vita ya MOB?
YAANI kila mtu awe na panga patakalika hapo?
Samahani mkuu embu rudia tena ulimwengu ujue wanaume wa dar hamfurukuti kwa vitoto tena vibinti vilivyoshika mapanga
 
Ila watu wa dsm kuna mahali mnafeli sana. Yaani Leo mnavamiwa mnasubiri kutangazwa kwenye TV tu na mapicha mengi. Nina uhakika hao vijana wangefanya hayo huku mikoani hakika hata kwenye TV msingewaona. Kuna watu majasiri huku sio mchezo. Ingepigwa mbiu tu halafu mngeona ushirikiano wa wanajamii. Tatizo lenu huko hata kusalimiana tu issue. Mnajifanya mpo busy na mbele saaana kumbe hamna kitu.
Tamba baba uwanja ni wako.... ukimaliza uje utuoneshe kwa vitendo.
 
Samahani mkuu embu rudia tena ulimwengu ujue wanaume wa dar hamfurukuti kwa vitoto tena vibinti vilivyoshika mapanga
Ukipitisha panga chini au kisu kutwa nzima hakuna atakayetoka nje siku hiyo.
 
Naomba niwape ushauri wa kuwamaliza hawa viumbe.

Kwanza kabisa mfumo wa dar umekaa tofauti sana na mikoani, ndio maana huwezi kuona magenge haya ya waharifu katika mikoa mingine, watu wanao tamba bara barani na kufanya uharifu.

Ingekuwa ni mkoani tungetumia mbinu ya sungusungu kumaliza hili tatizo kwa weredi, lakini dar wanaume wa dar kumudu kazi hii ni changamoto na pili sungu sungu wenyewe waweza kuwa panya Road.

Mimi ushauri wangu, Jeshi la polisi liunde operation maalumu ya panya Road, na kumteua kamanda Mohamed Msangi kuongoza operation hiyoView attachment 2209014
Kikubwa asichaguliwe watu wa kufanya nao kazi na asifundishwe mbinu za kufanya kazi.

View attachment 2209015
Mimi nawahakikishieni usiku mmoja tuu wa tarehe 03/05/2022... utatosha kabisa kuwatuliza panya Road.

Jaribuni mtakuja kunishukuru baadae.
Naitwa mtwa mkulu Mngaya sida
Mkuu tupatie Siri ya afande wetu huyu
 
Watu wa mikoani mna ropoka Sana
Hivi unajua kuwa panya road hawakai sehemu moja?yaani wanapofanya tukio sipo wanapoishi
Pili Wana mapanga unaweza kupambana na vijana 20 wenye mapanga?
Vijana 20 tu, si mnawazingira mnawakamata vizuri,hivi mtaa hapo kila mtu akatoka na panga hamtawakamata?
 
Tatizo kujiandaa.
ujue wizi wa kikundi ni tofauti na wizi wa mtu mmoja.
Na sio tu wapo mikono mitupu na wao Wana silaha ni Kama genge la uhalifu.
Kea hyo mnatakiwa mjipange ukitoka kwa kukurupuka unaweza ukatangulizwa kaburini
Vijana 20 tu, si mnawazingira mnawakamata vizuri,hivi mtaa hapo kila mtu akatoka na panga hamtawakamata?
 
Back
Top Bottom