MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Upinzani wa Syria, Libya, Yemen na mataifa mengi walifanikiwa kubadilisha mfumo katili kwa kuweza kuanzisha "Parallel institutes"
Watanzania hawakumpa Uhalali Samia hivyo wako tayari kumpa uhalali mtu yoyote anayepinga na Samia.
Nchimbi alishiriki uchafuzi wa October 29, ila baada ya kupishana na Samia, wananchi wameungana kumtaka aanzishe vita
Upinzani wa Tanzania umedhibitiwa ndani ya nchi na nje ya Nchi hakuna sauti yenye nguvu wala organization.