Nitoeni hofu, mke wangu amepitiliza mda wa kujifungua

Nitoeni hofu, mke wangu amepitiliza mda wa kujifungua

Usifanye masihara na hayo mambo kama imeshindikana kuzaa kawaida apasuliwe la sivyo unaweza poteza viumbe wote wawili!! The early the better.

Sasa hapa unamtoa hofu au unamzidisha hofu!?
 
Usikae sana kusubiria uchungu, akika siku 2 zaidi afanyiwe operation maana hayo mambo sio ya kusubiri sana.
 
Soma isaya 56

Sema BWANA YESU NAITA MTOTO WIKI HII

SHIKA TUMBO LA. MKEO NAJUA HALI UNAYOPITIA

NIKUJULISHE YULE MTOTO ANASIKIA SASA HIVI

SEMA BWANA YESU NAKUSHUKURU HAPA TULIPO
NAITAJI MTOTO WANGU KABLA YA JUMAPILI HII

WEWEE MTOTO WEWE NI ROHI NA UNASIKIA KUPITIA UANGAMINISHO WANGU NA WEWEE NAKUITAJI SASA NAITAJI KUKUONA KABLA YA JUMAPILI

NAITAJI KUKUON UKITOKA NJIA YA KAWAIDA NAKATAA OPERATION KWA JINA LA YESU

NASEMA AHSANTE YESU KWA KUNIPA MTOTO WA KIUME

AMEN
NAKUONA UKIWA NA BYB BOY JUMATATU -J5 SAA SABA .MCHANA UBARIKIWE
 
Come will touch ur stomach n pray

In God everything is Possible

Aijalishi ulitenda dhambigan

MUNGU N MUNGU WA MSAMAHA NITAKUOMBEA REHEMA NA TOBA KABL YA MENGINE

ISAYAA ANASEMA AKUNA TASA JUU YA ISRAEL ..UKIENDEA KUSOMA NA BARAKAZA ZAO WATOO TO UTAWAPENDA WAJE MAPACHA
 
Yupo Hospital almost 2 weeks sasa,Kashaambiwa kua Mtoto yupo tu vizur na hakuna shida yoyote,kinachosubiriwa ni Uchungu tu na zikipita 2 wks kama bado watafanya mikakati mingine
sasa wasiwasi wako nini??

Keyboard is not your solution kwa sasa... hospitali ndio safest place

kumbuka huwa kuna plus or minus two weeks and sometimes kuna errors za dates of conception
 
Usikae sana kusubiria uchungu, akika siku 2 zaidi afanyiwe operation maana hayo mambo sio ya kusubiri sana.

Mke wa jirani yangu alikua na tatizo kama la mkeo. Alikaa mda mrefu hivyo hivyo baada ya tarehe ya makisio kupita. Tulifanya maombi ya kutosha lakini hakupata uchungu. Mungu ana njia nyingi za kumleta kiumbe wake hapa duniani. Baada ya kuona siku zinapita, ikabidi afanyiwe opereshen; MUNGU mkubwa mtoto akatoka salama. Hivyo usisubirie uchungu tu ili azaliwe njia ya kawaida, jaribuni na njia ya pili pia. Kadri mtoto anavyoendelea kukaa tumboni zaidi baada ya kufikia mda wa kuzaliwa wanasema ile nyumba yake ambayo ni ya majimaji yale maji huanza kupungua taratibu na mtoto mwishowe anaweza kufa.
 
Kitu kingine ni kwamba wakati mwingine madaktari wanakosea kusoma ultrasound. Unaweza kukuta mtoto amekaa vibaya tumboni na amekwama kiasi kwamba hawezi kutoka kwa njia ya kawaida. Mtafute specialist mwingine asome hiyo ultra sound na atoe ushauri wa nini cha kufanya mapema.
 
Mkuu vumilia kwani hata TB Joshua alikaa tumboni miezi 15 lakn badae akazaliwa salama tu.
 
Habari wana Jf
Jaman mpaka sasa Mke wangu hajajifungua bado,na ninaamin kua hatujakosea tarehe kwa maswali tuliyoulizwa Clinic siku ya kwanza,nakumbuka kwa mara ya kwanza alifanya prengancy test mwishon mwa Sept,2013 na ndo alijua ana mimba.MP ya mwisho alipata tar 23 na kumaliza tar 27,August 2013.
Kwa wale wataalam wa makisio nisaidien tafadhal
 
Dawa ya kuzuia mimba changa isitoke,msaada plse nimechoka na hali hii nahitaji mtoto sasa.

pole. kuna rafiki yangu ameteseka sana miaka mingi ila sasa karibia anajifungua. uko wapi nikudirect kwa Gynocologist?
 
Habari wana Jf
Jaman mpaka sasa Mke wangu hajajifungua bado,na ninaamin kua hatujakosea tarehe kwa maswali tuliyoulizwa Clinic siku ya kwanza,nakumbuka kwa mara ya kwanza alifanya prengancy test mwishon mwa Sept,2013 na ndo alijua ana mimba.MP ya mwisho alipata tar 23 na kumaliza tar 27,August 2013.
Kwa wale wataalam wa makisio nisaidien tafadhal

Nikicalculate inakuja kuanzia tarehe 30 mwezi huu
 
Back
Top Bottom