golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
Usifanye masihara na hayo mambo kama imeshindikana kuzaa kawaida apasuliwe la sivyo unaweza poteza viumbe wote wawili!! The early the better.
Leo ni wiki ya 42 na siku 1,We are still waiting Guys,Maombi yenu yahitajika bado
dawa ya kuzuia mimba changa isitoke,msaada plse nimechoka na hali hii nahitaji mtoto sasa.
sasa wasiwasi wako nini??Yupo Hospital almost 2 weeks sasa,Kashaambiwa kua Mtoto yupo tu vizur na hakuna shida yoyote,kinachosubiriwa ni Uchungu tu na zikipita 2 wks kama bado watafanya mikakati mingine
Usikae sana kusubiria uchungu, akika siku 2 zaidi afanyiwe operation maana hayo mambo sio ya kusubiri sana.
Dawa ya kuzuia mimba changa isitoke,msaada plse nimechoka na hali hii nahitaji mtoto sasa.
Mkuu vumilia kwani hata TB Joshua alikaa tumboni miezi 15 lakn badae akazaliwa salama tu.
Habari wana Jf
Jaman mpaka sasa Mke wangu hajajifungua bado,na ninaamin kua hatujakosea tarehe kwa maswali tuliyoulizwa Clinic siku ya kwanza,nakumbuka kwa mara ya kwanza alifanya prengancy test mwishon mwa Sept,2013 na ndo alijua ana mimba.MP ya mwisho alipata tar 23 na kumaliza tar 27,August 2013.
Kwa wale wataalam wa makisio nisaidien tafadhal
Tar 30 si ndio leo MkuuNikicalculate inakuja kuanzia tarehe 30 mwezi huu
Tar 30 si ndio leo Mkuu