Nitoeni njiapanda

0787510341

New Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
4
Reaction score
0
Natamani siku zisonge na miaka iendelee kwa kasi hii hii ili UMASIKINI uzeeke na UTAJIRI uchipue na kukua kama mti wa MBUYU

Sina mradi wala wazo lolote, sina lengo wala ndoto yeyote naona maisha yanasonga kama ilivyo desturi yake Mara Giza wakati wa usiku Mara mwanga gafla siku nyingine itatengeneza miaka..!!

Natamani nijikwamue na mimi niheshimike kama wao lakini funguo za ubongo wangu zimegoma kufungua macho nizione fursa zitakazonitoa mbele ya mdomo huu wa umaskini..!!

Namtafuta wa kumlaumu japo niufariji moyo wangu lakini kila ninayedhania kama anapaswa kulaumiwa juu ya anguko langu kumbe hata yeye anazo lawama zake kwangu..!!

Najiona njia panda bila shaka ni jukumu langu kujikwamua hapa nilipokwama lakin sasa nifanyeje...!???

Naitwa Ditram mwanaharakati
 
Kama unasema hvi" nataka nijikwamue " halafu unasema ya kuwa," sina malengo" Tuanze na hapa kwanza.
Tutakusaidiaje si bora hata maiti katulia tu lakini ana malengo ya kwenda motoni au mbinguni.
Mtoa mada bora hata usife unatakiwa utoke kwenye universe yetu maana hautufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…