[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....Hicho ni kitambulisho mkuu!
Huyo mwanamke hapo kabania nywele au ????
Shukrani kwa jibu murua
tatizo huku Chattle bado havijafika. Nitamtuma Magata au Masweya akija Darisalamu anileteeushamba nao iyo ni wireless mic
haweki simu masikioni labda aamue mbona vimejaa mdukani ni wew tu kama uko confortable nacho unakivaa
kwahiyo unataka kusema ni Mwana eagle wing house?Mhhh....atakuwa undercover huyu
Maulidi hii tabia ya kulaghai na kuwagonga watoto wa watu itabidi aache sasa....Ona mnavyomchukiaHuyu nae kawa mpana sikuhizi kama pazia la labour.cjui ndo uzee
hana smart phoneKuna haja ya kumshawishi Dr Luis shika ajiunge JF maana atakuwa na majibu mubashara kabisa kuhusu hili
Yaani...Majibu ya humu
Huyu mkaka huyu alimchuna mama mmoja mtu mzima.huyo mama akienda nchi za nje jamaa anafanyiwa shopping ya nguvu. Tena vitu expensive.matokeo yake baadae Yule mama akapigwa chiniMaulidi hii tabia ya kulaghai na kuwagonga watoto wa watu itabidi aache sasa....Ona mnavyomchukia
Mama si alipata utamu jamaniHuyu mkaka huyu alimchuna mama mmoja mtu mzima.huyo mama akienda nchi za nje jamaa anafanyiwa shopping ya nguvu. Tena vitu expensive.matokeo yake baadae Yule mama akapigwa chini
Barter trade! [emoji1]Mama si alipata utamu jamani
It only goes wrong when the other part has a higher expectationsBarter trade! [emoji1]
Sure! And too many disappointments are usually a sign of too many expectations!It only goes wrong when the other part has a higher expectations