Nitoeni ushamba: Hiki anachovaa Maulid Kitenge shingoni ni nini?

Nitoeni ushamba: Hiki anachovaa Maulid Kitenge shingoni ni nini?

Mkuu hayo in malumalu ya kwao Kigoma so unajuwa babu yake Mzee kitenge alikuwa mchawi balaa bale bangwe katonga.
Labda ameanza kurisi
 
Yaaan hio ni kama wireless na INA Bluetooth unaeza connect na simu hata ikiwa mbali unaongea au kusikiliza mziki mambo ya utandawazi
 
Usipoteze muda mkuu amekubali kuwa kaa hivyo anaonesha kwa vitendo kwa kumvaa kaa .Huyo shingoni ndio kaa mwenyewe sasa.
 
Back
Top Bottom