Kitambulisho cha sisiem...[emoji13] [emoji13]Hicho ni kitambulisho mkuu!
Kwakweli ni burudani mujarab....[emoji12] [emoji12]Majibu ya humu
Hahhaaaahaaaaaa....nimejikuta nacheka tu dah wewe bhangi sana
Mkuu, unamaanisha ushanga...[emoji15] [emoji15]Mkufu wa "kiume"
We jamaa muogope mungu et kitaalamu kinaitwa kidemokrasiaHiyo ni sawa na wewe ukivaa Earphone au Headphone kitaalamu wanaita Demokrasia
Kweli kabisa, ule ujasiri aliouonesha siku hamorapa alipotimua mbio haukuwa wa kawaidaSio ATA bali Ni
Kitambulisho eti!!!Hicho ni kitambulisho mkuu!
Ni vile vitambulisho ambavyo huwa wanavaa shingoni mkuu!!!Kitambulisho eti!!!
Bichwa nazi?Ungemuagiza muheshimiwa akuletee
chiziii weweeeeKibanio cha nywele hicho ila kwa kuwa ananyoa kipara basi anakivaa shingoni abane ndevu!!!