Nitofautishieni haya maneno

Nitofautishieni haya maneno

swaki la jiti

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
97
Reaction score
60
Kwa wajuzi wa lugha ya kiswahili naomba mnifafanulie maana ya haya maneno.takatifu na tukufu.natanguliza shukrani.
 
Tukufu ni Nomino

Takatifu ni kitenzi Jina


Kwa ujumla ina mlengo mmoja .
 
Back
Top Bottom