Nitoke vipi!?

Nitoke vipi!?

Joined
Jun 28, 2015
Posts
28
Reaction score
1
habari wapndwa, me nataka kuwa mjasiriamali, kijana mwenye ndoto za kua tajir mkubwa baadae kwa kupitia biashara, lakin sijajua kua nifanyeje niweze kutoka kwan kwa mtaji nilio kua nao xjajua biashara gan nifanye, kwan nina 30,000/tsh but sinapakuanzia wadau kwa kiasi kama icho naweza kufanya biashara gani?
naomba msaada plees
 
Nunua petrol weka kwenye makopo 1700 we uza 2000 faida 300 kwa hela hiyo faida 4500,
 
Back
Top Bottom