Nitoweni ushamba kwa hili.

Nitoweni ushamba kwa hili.

Benard kombe

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
139
Reaction score
41
jamakani kama mtu ni mwajiriwa je anatumia njia gani kwenda kusomea kozi tofauti na aliyonayo?.mfano mwalimu kwenda kusomea masuala ya kilimo
na unafuata utaratibu upi ili kufanikisha masoma ya kozi nyingine?
 
Swali lako lina utata kidogo, je unataka kuhusu ruhusa? au jinsi ya kuapply hizo kozi, pia kama ni ruhusa unataka ruhusa ya aina gani, yenye malipo au bila malipo, na ni nani unayemtarajia akusomeshe. Ukiachana na maswali yote hapo juu nanukuu katiba ya JMT ya 1977 utafute ipo kwenye mitandao wewe google kitu kitakuja chenyewe then uisome kwenye
Haki ya kufanya kazi, kupata elimu na nyinginezo Sheria ya 1984 Na.15 ib.6

11 (2) Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raiaatakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia
upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake
UKURASA WA 16
 
Back
Top Bottom