Nitumie aina gani ya umeme utakaonisaidia kuishi vizuri na familia bila bugdha

Nitumie aina gani ya umeme utakaonisaidia kuishi vizuri na familia bila bugdha

Super Bowl

Member
Joined
Feb 10, 2025
Posts
78
Reaction score
46
Wajuvi wa mambo Mradi gani wa umeme utanisaidi kuishi vizuri na familia bila bugha....

Umeme wa Tanesco/REA

Au

Ninunue Generetor
 
Aah! Yatima, sasa kuchanganyikiwa kutaongezeka. Mimi nilidhani umeme uunganishwao majumbani nchi nzima ni wa Tanesco kume wa REA hautoki Tanesco japo kwenye risiti ninunuapo wanaiweka REA!
Bora umekumbuka wengi kule tutakua mayatima tukapambanie DOLARI zetu
 
Agiza mtambo wa solar kutoka tesla paa zima linakuwa solar panels utapata umeme wa kutosha kuliko mahitaji yako.
Tumeshaitanaza mkuu ajira nyingine tutaweka kibindoni kwa ajili ya Dollars za kagizia mzigo wa Solar Panel na mitambo
 
Back
Top Bottom