umeme wa rea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya kuunganishiwa Umeme REA Igonyamu, Mbeya DC

    Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC. Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
  2. J

    JamiiForums Tanzania As-built site surveyor Naomba kazi/connection kwenye miradi ya umeme wa REA

    Habari waungwana, kijana wenu hapa naomba connection ya kazi. Nina uwezo na experience ya kufanya as-built site survey kwenye miradi wa kusambaza umeme vijijini. Natumia kifaa cha GPS, OPEN CAMERA, COMPUTER kuandaa report ya mradi inayoonyesha 1.Design Network 2.Number of poles, pole size...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  4. Super Bowl

    JamiiForums Tanzania Nitumie aina gani ya umeme utakaonisaidia kuishi vizuri na familia bila bugdha

    Wajuvi wa mambo Mradi gani wa umeme utanisaidi kuishi vizuri na familia bila bugha.... Umeme wa Tanesco/REA Au Ninunue Generetor
Back
Top Bottom