Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
STI inatokana na nini?kuna UTI na STI ..... less likely mwanaume kuugua UTI unless amechovya mahali .... meaning umepata UTI as STI ...
so main point ni kuacha/kupunguza kupiga kavu .... Nenda hospital ukafanyiwe vipimo ili ijulikane ni UTI ama other STI .
Nenda kapigwe sindano na doxywiki ilopita niliumwa U.T.I,
Nikandikiwa dawa inaitwa AZUMA nimemaliza dozi juzi lakin bado sijapona,dhakari bado inauma wakat wa kujojoa,afu kinachonikera zaidi kuna vimaji maji vyuepe vinatoka, mwanzo viliisha lakini bada ya kumaliza dozi vimeanza tena.
nimekuja kwenu kuja kuomba kujuzwa ni dawa gani ya kuzuia hivi vimaji visiwe vinatoka,dawa za hospital sio muumini sana,nimeagiza dawa ya uti huko Kijijini, lkn utachukua wiki kadhaa kufika huku,ko naomba mwenye ujuzi wa dawa hata ya hospital anijuze,(Maji nakunywa sana hadi tumbo linajaa maji).
Maambie avae kondomuMuhimu uache kupiga mbichi, magojwa yatakuua.