Huu ushauri wako ungeambatisha na ushahidi wa kisayansi, kwamba nini kinasababisha hayo majipu na nini kinafanywa na hayo majivu, na kwa nini ni lazima kwenye kaburi la ndugu?Chukua vumbi la kaburi la ndugu yako wa karibu kama babu, baba, mama, kisha fikicha jipu litapotea lote, ni njia tulikuwa tunaitumia utotoni vijijini na ilikuwa inafanya kazi
Hizi technolojia zingeandikwa kwenye vitabu na zingeendelezwa kwa vizazi vijavyo wazungu cwangetuamkia shikamooChukua vumbi la kaburi la ndugu yako wa karibu kama babu, baba, mama, kisha fikicha jipu litapotea lote, ni njia tulikuwa tunaitumia utotoni vijijini na ilikuwa inafanya kazi
Majipu kujirudia rudia kila wakati kunasababishwa na damu chafu Aendekupiga Hijama aka chuku kuumika atapona. Dawa ingine hii hapa.Habari wana JF
Nina mdogo wangu anakumbwa na majipu kila wakati tumempeleka hospitali akapewa dawa ambazo kwa maezo ya muuguzi ni kwaajili ya kukausha na kuzuia kutojirudia tena lakini bado yanamtokea. Je chanzo ni nini, Tiba ya kudhibiti yasitokee tena ni ipi?