Nitumie dawa gani majipu yanajirudia kwa mara nyingine

Nitumie dawa gani majipu yanajirudia kwa mara nyingine

leo joh

Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
13
Reaction score
1
Habari wana JF
Nina mdogo wangu anakumbwa na majipu kila wakati tumempeleka hospitali akapewa dawa ambazo kwa maezo ya muuguzi ni kwaajili ya kukausha na kuzuia kutojirudia tena lakini bado yanamtokea. Je chanzo ni nini, Tiba ya kudhibiti yasitokee tena ni ipi?
 
Kapime electrolytes level kwenye damu inawezekana white blood cells ziko chini atashauriwa vyakula vya kula, mchicha ni mojawapo
 
Ahsanten kwa wote mliotoa ushauri MUNGU AWABARIKI
 
Chukua vumbi la kaburi la ndugu yako wa karibu kama babu, baba, mama, kisha fikicha jipu litapotea lote, ni njia tulikuwa tunaitumia utotoni vijijini na ilikuwa inafanya kazi
 
Chukua vumbi la kaburi la ndugu yako wa karibu kama babu, baba, mama, kisha fikicha jipu litapotea lote, ni njia tulikuwa tunaitumia utotoni vijijini na ilikuwa inafanya kazi
Huu ushauri wako ungeambatisha na ushahidi wa kisayansi, kwamba nini kinasababisha hayo majipu na nini kinafanywa na hayo majivu, na kwa nini ni lazima kwenye kaburi la ndugu?
 
Chukua vumbi la kaburi la ndugu yako wa karibu kama babu, baba, mama, kisha fikicha jipu litapotea lote, ni njia tulikuwa tunaitumia utotoni vijijini na ilikuwa inafanya kazi
Hizi technolojia zingeandikwa kwenye vitabu na zingeendelezwa kwa vizazi vijavyo wazungu cwangetuamkia shikamoo
 
Habari wana JF
Nina mdogo wangu anakumbwa na majipu kila wakati tumempeleka hospitali akapewa dawa ambazo kwa maezo ya muuguzi ni kwaajili ya kukausha na kuzuia kutojirudia tena lakini bado yanamtokea. Je chanzo ni nini, Tiba ya kudhibiti yasitokee tena ni ipi?
Majipu kujirudia rudia kila wakati kunasababishwa na damu chafu Aendekupiga Hijama aka chuku kuumika atapona. Dawa ingine hii hapa.

KITUNGUU MAJI
Chukua kitunguu maji kikatekate vipande kisha kisugue taratibu kwenye jipu, unaweza kufanya zoezi hilo mara tatu mpaka nne kwa siku utaona matokeo

KITUNGUU MAJI.jpg
 
Habari zenu mimi pia nasumbuliwa na majipu ya mara kwa mara...nimependa ushauri wenu wote nitajarib kutumia vitunguu maji...naimani itanisaidia asanteni sana...
 
Back
Top Bottom