Habarini wana Jamvi..
Sawa ndevu ni kero ila zinaheshima yake.
Ukifika umri fulani ukawa hauna hii mambo bado utakuwa na wakati mgumu wa kupewa salamu hata na watoto wadogo. Umri unaenda harafu nakosa kitu cha muhimu kama hiki.
Tafadhari, Tafadhari... Naomba msaada wenu nasikia kuna dawa ya kukuza ndevu.
NB Ndevu Zipo ila ni ndogo na hazikui....Kwa muda mrefu..
Ingia Instagram kuna zile oil special kwaajiri ya ndevu. Lakini pia zipo hormones boost kwaajiri ya kuongeza uzalishaji wa ndevu sababu kukosa ndevu ni ishara ya kupungukiwa hormone ya kiume. Nitakuwekea hapa mojawapo. Ila kama utakuwa na muda, upo Dar nikuelekeze maduka ambayo utapata hizi makitu