political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
- hakuna faida zaidi ya usumbufu.hasara za kutumia clearing agent Hawa wa mtaani?
Tumia kampuni husika ku_clear mzigo. Hautopata usumbufu.Hawa wakubwa DHL na FedEx
FedEx
Kodi ya serekali na kukucheleweshea mzigo wako kama ni FedExMkuu ukiachana na hio 150k ya Clearance kuna fees gani nyingine
150k ipi tena kaka mbona nimeambiwa 500kMkuu ukiachana na hio 150k ya Clearance kuna fees gani nyingine
Cheki Pm mkuu150k ipi tena kaka mbona nimeambiwa 500k