Nitumie FedEx, DHL au campuni hizi za kawaida ku clear Consignment yangu?

Nitumie FedEx, DHL au campuni hizi za kawaida ku clear Consignment yangu?

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
295
Reaction score
792
Unapoagiza mzigo kutoka nje, wanakusafirishia mpaka port ya dar es salaam. Unatakiwa kutafuta clearing agent wako, je Nini faida au hasara za kutumia Hawa wakubwa DHL na FedEx na je Nini faida au hasara za kutumia clearing agent Hawa wa mtaani?

Nisaidieni wadau nipo Kwenye final decision making
 
Nimeongea mmoja Wa maclearing agent anasema wao wana faida ya kuweza kuburgain na TRA ikitokea assessment imekuja na Kodi kubwa vipi ni kweli au waongo?
 
Back
Top Bottom