St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Kuna mwanamke mmoja nilikutana nae Masaki pale kwenye ice cream kwa wadosi. Nikamsalimia na kujitambulisha kwake stori mbili tatu nikaomba namba yake akanipa.
Tukawa tuna chat baada ya mwezi na nusu (jana)akaweka kwenye status yake kuwa leo it’s her birthday nikamu wish nae akajibu kwa asante. Siku ya pili(Leo) nikamuuliza vipi jana mtoko ulikuwa wapi akasema sina nilipo kwenda nikamuuliza kwanini?. Akasema hana hela nikasema ok pole nakutakia siku njema, baada ya dakika 5 akatuma sms inayosema My nitumie laki basi leo nitoke. Na mimi nikamjibu My niletee mbususu leo nikate kiu. Naona hajajibu mpaka sasahivi?