Nitumie mbinu gani ili kuongeza akili!?

Nitumie mbinu gani ili kuongeza akili!?

ilala yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
1,451
Reaction score
2,348
Jamani naomba mnisaidie namna ya kuongeza akili yaani namaanisha kuufanya ubongo ufikirie haraka,utunze kumbukumbu.msaada wenu tafadhari
 
Tumia akili , ili uongeze hizo akili unazotaka ziongezeke
 
Nategemea usie na akili usijibu hii post maana wee mwenyew umeshindwa ongeza yako
 
Soma kila kitu kinachokujia
magazeti,vitabu na kadhalika....jifunze mchezo wa chess pia
 
Pendelea kula ngano isiyosagwa inaongeza sana afya ya akili.
Samaki ndizi, punguza nyama nyekundu kama ng'ombe na pia usipendelee sana kitimoto.
Wine nayo siku moja moja si mbaya ila sio chupa nzima. Kiduchu tu
 
Back
Top Bottom