ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Fanya yoga meditation itakusaidia sana.....
Jamani naomba mnisaidie namna ya kuongeza akili yaani namaanisha kuufanya ubongo ufikirie haraka,utunze kumbukumbu.msaada wenu tafadhari
pia kama wewe ni shabiki wa ccm achana nayo utaona upeo wako unafunguka