Nitumie mbinu gani ili kuongeza akili!?

tatizo lako la kusahau siyo kubwa sana ndio maana umekumbuka password ya jf
 
Uwezo wa akili kufanya kazi vizuri unajengwa tangu utoto kwa lishe bora haya mengine yanaitwa kuongeza maarifa inategemea ume base kwenye nini katika hilo utakuwa mzuri kuongeza bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…