Nitumie mbinu gani kuachana na huyu mwanamke?

Na mm ndo sitaki wanangu kuishi maisha yasiyoeleweka maana najua hataweza kuwaweka watoto vizuri
 
Umewafiria watoto wako

Hakuna kitu kinaumiza watoto kama baba kwenda kwa mama mwingine na mama kwenda kwa baba mwingine na wao wakihangaishwa
 
😁mngekuwa mmejenga ungekoma, hapo jikatae,maana na wewe na undondocha wako unataka aanze kusaka ghto na watoto mgongoni?Wenzio tushaacha maghto kibao kama mm hili naenda kumuachia huyu marlayaa ni la Tano.

Hahaha, umetisha ndugu.
 
Miezi mitatu sasa imepita, tupe mrejesho
 
Kuondokaa sio suluhisho jali kizazi chako unawatoto kumbukaa ombaa sana shetani yupo kazi,kuleta mwanamke mwingine ni kuletaa matatizo na dawa ya mwanamke mwwnye mdomo ni kunyamaza na kumjali atanyoookaa tu huyo
 
Mpige matukio mfululizo hadi abwage manyanga mwenyewe.
 
Tatizo la msingi n nn?? Nini chanzo cha kununa/ugomvi?? Chunguza kwanza kabla ya kuamua kukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…