Nitumie mbinu gani kuachana na huyu mwanamke?

Upo sahihi mke wake yupo possessed by demons .

Afanye prayers hasa night prayers

Pia atumie chumvi ya mawe ili Ku-revive UPENDO.

Migogoro ,ugomvi ukishaingia katika nyumba kinachofata ni stumbling, hiyo nyumba haitozalisha chochote

Ikitokea taraka watakaoteseka ni watoto.
Na mm ndo sitaki wanangu kuishi maisha yasiyoeleweka maana najua hataweza kuwaweka watoto vizuri
 
Umewafiria watoto wako

Hakuna kitu kinaumiza watoto kama baba kwenda kwa mama mwingine na mama kwenda kwa baba mwingine na wao wakihangaishwa
 
😁mngekuwa mmejenga ungekoma, hapo jikatae,maana na wewe na undondocha wako unataka aanze kusaka ghto na watoto mgongoni?Wenzio tushaacha maghto kibao kama mm hili naenda kumuachia huyu marlayaa ni la Tano.

Hahaha, umetisha ndugu.
 
Habari za humu wakuu mimi maisha yangu na huyu mwanamke yamekuwa ni ya ugomvi kila wiki haiishi bila kugombana.

Ugomvi mkubwa hasa ni wa tendo pia ni mtu wa kununa kila wakati sasa tunae watoto wawili bado wadogo,

Sasa kuondoka hataki na tumepanga upendo kati yetu umekwisha na sioni njia nyingine zaidi ya kila mtu kufata maisha yake.

Nawaza nimuachie hili geto nikapangishe upya.

Na ameapa hataondoka hata nimlete mwanamke mwingine hapa ndani na sijafunga nae ndoa.

Je, ni tumie njia gani aondoke au mm ndo niondoke.
Miezi mitatu sasa imepita, tupe mrejesho
 
Kuondokaa sio suluhisho jali kizazi chako unawatoto kumbukaa ombaa sana shetani yupo kazi,kuleta mwanamke mwingine ni kuletaa matatizo na dawa ya mwanamke mwwnye mdomo ni kunyamaza na kumjali atanyoookaa tu huyo
 
Habari za humu wakuu mimi maisha yangu na huyu mwanamke yamekuwa ni ya ugomvi kila wiki haiishi bila kugombana.

Ugomvi mkubwa hasa ni wa tendo pia ni mtu wa kununa kila wakati sasa tunae watoto wawili bado wadogo,

Sasa kuondoka hataki na tumepanga upendo kati yetu umekwisha na sioni njia nyingine zaidi ya kila mtu kufata maisha yake.

Nawaza nimuachie hili geto nikapangishe upya.

Na ameapa hataondoka hata nimlete mwanamke mwingine hapa ndani na sijafunga nae ndoa.

Je, ni tumie njia gani aondoke au mm ndo niondoke.
Mpige matukio mfululizo hadi abwage manyanga mwenyewe.
 
Tatizo la msingi n nn?? Nini chanzo cha kununa/ugomvi?? Chunguza kwanza kabla ya kuamua kukimbia.
 
Back
Top Bottom