Nitumie mbinu gani kumuacha ila nikiwa na hamu awe ananipa?

kunta93

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
754
Reaction score
1,512
Habari zenu mabaharia,

Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa, she isπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nataka kumpiga chini coz nikiendelea kua nae ntajifunga, huko mbele sitoweza kumkimbia au nikimkimbia ataniletea mabalaa si unajua hata waganga wamekua wengi siku hz

Sasa naombeni mbinu ya kumpiga chini ila nikihitaji utelezi awe ananipa ..

Uzi tayari
 
Muache kwa maneno ya kistaarabu tu. Ila ni vizuri ajue kuwa mmeachana ili na yeye atafute mtu mwingine.

Uwe unaendelea kumpa matunzo ya fedha na mawasiliano nae endeleza usimchunie. Hapo ukitaka kupasha kiporo inakuwa rahisi.
 
Habari zenu mabaharia,

Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty,ni spender na hana hata robo ya uwife material ila
Una $$? Mwambie unaona anakuvuruga, kisha umwache ww. Kama una pesa hataacha kuja mara moja moja ukimhitaji halaf unampa kitu kidogo. Kama hauna $$, sahau. Ni kuendelea naye tu ivyo ivyo ila atazidi kukuvuruga na maendeleo hautafanya kamwe.
 
Muache kwa maneno ya kistaarabu tu. Ila ni vizuri ajue kuwa mmeachana ili na yeye atafute mtu mwingine.

uwe unaendelea kumpa matunzo ya fedha na mawasiliano nae endeleza usimchunie. Hapo ukitaka kupasha kiporo inakuwa rahisi.
Ndio ivyo. Matunzo ya pesa yatamuweka karibu. Hapo ni money talks tu!
 
Habari zenu mabaharia,

Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty,ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa,she isπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
Walokole mmeshanza kuharibu nyuzi za watu[emoji3525]

Mtoa mada kaomba ushauri na sio mahubiri
 
Hicho ndo kipimo chanuanaume wako.

Uwezo wa kumbadilisha awe mke wako.

Hiyo spending na mengine mbona inawezekana tu.

Unadhani utakuta alie peefect njia zote? Sura, tabia, ooliskia wapi?
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…