Nitumie mbinu gani kupambana na hii UTI?

Nitumie mbinu gani kupambana na hii UTI?

Jamani ndugu zangu habari za muda huu?

Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu.

Nitumie mbinu gani wapendwa?
Habari mbaya ni hii hapa 👇👇
Screenshot_20240816-162729.jpg
 
Pole mkuu tumia kuchemsha vitunguu maji vikubwa vi 4 katakata chemsha kwenye maj ya kita 1 na ½ kwa dakka 10 alafu epua ikipoa chuja tia kwa chombo safi alafu tumia kikombe cha chai weka nusu kijiko cha chapa simba [bicarbonate of soda] koroga tia na asal vjko 2 ukipenda tumia kutwa mara 3 kwa wik 2....3
 
Tumia kinga kyuma nyingi siku hizi zimeoza sana mana gono siku hizi ni kugusa tu kama utashindwa acha ngono jikite na mazoezi tu mjuba
 
Punguza uzinzi, tafuta mwenza mmoja mnayeaminiana na kucheck afya zenu..
 
Jamani ndugu zangu habari za muda huu?

Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu.

Nitumie mbinu gani wapendwa?
Pole,
Kwanza hakikisha unaweka utaratibu wa kunywa maji mengi hasa asubuhi (yakiwa ya vuguvugu itapendeza)
Pili, Chukua maji vuguvugu glasi moja changanya na magadi,Vitunguu swaumu pamoja na limao. Kunywa siku tatu asubuhi na jioni.(Katika hiki kipindi chote usile mzigo)
Tatu nakushauri uache zinaa. Tulia na mke/wake zako maalum. Hutoona tena magonjwa ya kiwaki namna hiyo
 
Back
Top Bottom