Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
kaka hiyo ni drug resistanceMuda wa kukojoa nikipengele
Habari mbaya ni hii hapa 👇👇Jamani ndugu zangu habari za muda huu?
Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu.
Nitumie mbinu gani wapendwa?
Pole,Jamani ndugu zangu habari za muda huu?
Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu.
Nitumie mbinu gani wapendwa?