Nitumie mbinu gani kusafisha tope lililoganda chini ya engine ya gari?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wanajamvi na wazoefu naomba kujua nitumie kitu gani kusafisha tope lililoganda chini ya gari, kwenye engine, oil sump na sehemu zingine. Kwa presha washer imeshindikana kutoka.

Msaada tafadhali wadau.
 
Mkuu kanunue spray iitwayo WD-40, inatoa vizuri sana, hadi nyuma ya engine na kuifanya iwe na muonekano mzuri.
 
Back
Top Bottom