profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wanajamvi na wazoefu naomba kujua nitumie kitu gani kusafisha tope lililoganda chini ya gari, kwenye engine, oil sump na sehemu zingine. Kwa presha washer imeshindikana kutoka.
Msaada tafadhali wadau.
Msaada tafadhali wadau.