Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Ujue mlituma nauli wengi, kachagua mwenye nauli nono ndo kaenda.Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Mtu kam'like kwenye simu, wakaanza kuchat, jamaa akalegezwa akatuma na ya kutolea, kuna sheria hapo kweli?Ibara ya 69 ya Sheria ya Ndoa imeweka wazi mkuu,,, lakini Kama aliyemtumia nauli Hana mahusiano nae (uchumba), hio umekula kwake
Pole sana mkuuYaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?