wewe ni daktari au Nessi au ni Nani?Ukijisikia usingizi toka nje kwenye fresh air, take a deep breath in an release it slowly, huu itaongeza oxygen kwenye mapafu. Stretch legs out
Ukiwa kazini jitahidi usikae
Pima damu wacheki electrolytes level
Kungfuu energy, dragon energy, sigara, ugoloMadereva wa malori ya masafa marefuu mje mtoe mbinu
Mimi ni sky eclatwewe ni daktari au Nessi au ni Nani?
upo njema Kila idara pongezi
Jipe kazi Tofauti mdaa wakazi usibweteke sana pia kunywa maji kila Baada ya saaSitaki niwachoshe kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,mkmi nimekuwa nikisumbuliwa sana na usingizi pindi ninapokuwa kazini iwe mchana au usiku nahangaika sana mara nipitiwe na usingizi wakati kazi yangu ni marufuku kulala kazini , ukilala sawa na kupoteza kibarua chako kutokana na sheria za wenye mgodi wao ,mwenye msaada na ushauri pia naomba anisaidie kwa hili please .[emoji32]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni sky eclat
Watamwambia atafune mirungi😀Madereva wa malori ya masafa marefuu mje mtoe mbinu
Daah mkuu kazi za mgodini ngumu sana yaani vyovyote vile utalala tu kuwa unasinxia hata saa 1 huku unashtukaWewe ni mzembe tu mkuu, option kila siku fanya mazoezi kabla ya kwenda job, hii itaongeza msukumo wa dam. Unasinzia sababu ubongo unakosa hewa ya kutosha ndo unajisikia mchovu