Nitumie nini ili ninapokuwa kazini nisisinzie?

Nitumie nini ili ninapokuwa kazini nisisinzie?

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,739
Reaction score
2,697
Sitaki niwachoshe kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,mimi nimekuwa nikisumbuliwa sana na usingizi pindi ninapokuwa kazini iwe mchana au usiku nahangaika sana mara nipitiwe na usingizi wakati kazi yangu ni marufuku kulala kazini , ukilala sawa na kupoteza kibarua chako kutokana na sheria za wenye mgodi wao ,mwenye msaada na ushauri pia naomba anisaidie kwa hili please .[emoji32]
 
Ukijisikia usingizi toka nje kwenye fresh air, take a deep breath in an release it slowly, huu itaongeza oxygen kwenye mapafu. Stretch legs out

Ukiwa kazini jitahidi usikae

Pima damu wacheki electrolytes level
 
Itakuwa ukila unashiba sn punguza kipimo cha ulaji hasa ukiwa unaingia mzigoni
 
Ukijisikia usingizi toka nje kwenye fresh air, take a deep breath in an release it slowly, huu itaongeza oxygen kwenye mapafu. Stretch legs out

Ukiwa kazini jitahidi usikae

Pima damu wacheki electrolytes level
wewe ni daktari au Nessi au ni Nani?
upo njema Kila idara pongezi
 
Madereva wa malori ya masafa marefuu mje mtoe mbinu
 
Wachina wanavuta sana sigara wakati wa kazi kupunguza uchovu na kuzuia usingizi...ila wanatumia pia dawa zao kuxuia madhara ya sigara
 
Sitaki niwachoshe kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,mkmi nimekuwa nikisumbuliwa sana na usingizi pindi ninapokuwa kazini iwe mchana au usiku nahangaika sana mara nipitiwe na usingizi wakati kazi yangu ni marufuku kulala kazini , ukilala sawa na kupoteza kibarua chako kutokana na sheria za wenye mgodi wao ,mwenye msaada na ushauri pia naomba anisaidie kwa hili please .[emoji32]
Jipe kazi Tofauti mdaa wakazi usibweteke sana pia kunywa maji kila Baada ya saa
 
Ukijisikia usingizi toka nje kwenye fresh air, take a deep breath in an release it slowly, huu itaongeza oxygen kwenye mapafu. Stretch legs out

Ukiwa kazini jitahidi usikae

Pima damu wacheki electrolytes level
Barikiwa sana
 
Tatizo limeanza lini? ni la muda mrefu au limeanza siku za karibun
 
Angalia na msosi unao kula asubuhi kuna milo mingine ukila kama inalewesha kama hujishughulishi
 
Kunywa maji sana,alafu kula sana matunda matunda na kutoshiba saaaaana wakati wa mgodi
 
Wewe ni mzembe tu mkuu, option kila siku fanya mazoezi kabla ya kwenda job, hii itaongeza msukumo wa dam. Unasinzia sababu ubongo unakosa hewa ya kutosha ndo unajisikia mchovu
 
Wewe ni mzembe tu mkuu, option kila siku fanya mazoezi kabla ya kwenda job, hii itaongeza msukumo wa dam. Unasinzia sababu ubongo unakosa hewa ya kutosha ndo unajisikia mchovu
Daah mkuu kazi za mgodini ngumu sana yaani vyovyote vile utalala tu kuwa unasinxia hata saa 1 huku unashtuka
 
Back
Top Bottom