Sky we muulize kwanza mara yake ya mwisho kupaka mafuta hilo eneo la tukio ilikua ni lini?Tumia cream, nywele zikiota zinakuwa laini.
Niaje washua!! Eti ni mimi tuu napata shida hii au hata nyinyi munaipata?? Nikishanyoa vuzi panakuwa kipara saafi ila shida inakuja wakati vuzi linaanza tena kuota huwa linachomachoma haswa vile vivuzi vichanga vimekaa kama vimiba fulan hivii... sasa hata nyinyi inawatokeaga hii?? Na nini dawa yake?? Na swali lengine huwa unanyoaga kila baada ya siku ngapi ili pawe lipara always....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mada zako zinahitaji picha tupate kuelewa.
Cream ganii hyo jamàniii??Tumia cream, nywele zikiota zinakuwa laini.
Tumia cream, nywele zikiota zinakuwa laini.
Cream ganii hyo jamàniii??
Niaje washua!! Eti ni mimi tuu napata shida hii au hata nyinyi munaipata?? Nikishanyoa vuzi panakuwa kipara saafi ila shida inakuja wakati vuzi linaanza tena kuota huwa linachomachoma haswa vile vivuzi vichanga vimekaa kama vimiba fulan hivii... sasa hata nyinyi inawatokeaga hii?? Na nini dawa yake?? Na swali lengine huwa unanyoaga kila baada ya siku ngapi ili pawe lipara always....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mada zako zinahitaji picha tupate kuelewa.
Kuwasha sidhani zinaota laini lakini zingatia muda. Ukiipaka alafu uingie instagram inaweza kuondoka na ngozi.
Kifaa cha kunyolea ndevu kinauza jero madukanUnatumia kifaa gani kunyolea mkuu, ebu tuanzie hapo kwanza.