Fuqin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 306
- 625
Niaje washua!! eti ni mimi tuu napata shida hii au hata nyinyi munaipata?nikishanyoa vuzi panakuwa kipara saafi ila shida inakuja wakati vuzi linaanza tena kuota huwa linachomachoma haswa vile vivuzi vichanga vimekaa kama vimiba fulan hivii.
Sasa hata nyinyi inawatokeaga hii? na nini dawa yake? Na swali lengine huwa unanyoaga kila baada ya siku ngapi ili pawe lipara always.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hata nyinyi inawatokeaga hii? na nini dawa yake? Na swali lengine huwa unanyoaga kila baada ya siku ngapi ili pawe lipara always.
Sent using Jamii Forums mobile app