Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Habari JF,
Ninaishi sehemu kunakopatikana maji ya chumvi kwa wingi, ni eneo nililohamia hivi karibuni. Nilichogundua ni kwamba maji haya yakitumika kufulia nguo huwa zinapoteza ule umaridadi, hata ukivaa hujifeel smart tena! Zingine zinapoteza rangi yake (pauka).
Naweza kutumia nini kuzia maji ya chumvi yasiharibu nguo?