NITUMIE NJIA GANI KUPATA MATERIAL?

NITUMIE NJIA GANI KUPATA MATERIAL?

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Naombeni kama kuna kuna mtu anafahamu namna ya kupata material ya ualimu DIPLOMA sekondari kwa sababu tunahangaika kutafuta madukani vitabu hamna na moduli kwa kawaida imeandukwa haiuzwi.

Chuoni huku kuna maktaba lakini moduli hazionekani ni vitabu vya ajabu ajabu tu.

Ukiangalia kwenye mitandao ndio hivyo wanaweka vitu nusunusu hawapendi kuweka wazi.

Ninachikiomba kama kuna mtandao kama wa THL waweke na material ya ualimu yaaan in shida.

Na hivi ndio mwaka wa kwanza hakuna wengine waliohitimu tangia tena tangia 2013.
 
Back
Top Bottom