Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitaidi uwe unatumia vitungu swaumu punje tatu kutwa mara tatu,pia uwe unatafuna mbegu za maronge.ispokusaidia tiba hii ntafute ninadawa za asili zinzotibu Bp kwa haraka sana kama unaitaji nakutumia.
Pole sana kwani matibabu ya hospital yamefikia wapi?. Mara zote huwa tunashauri tumia dawa za hospital.kama unahitaji zaidi.tutafutane tutakushauri zaidi.Zipo njia mbadala za kushusha BP +255 689 417 472
Kupunguza blood pressure inategemea iko juuu kiasi gani lakini kwa vyakula
1. Kula ndizi za kuiva: Ndizi za kuiva zina Potasium nyingi na potasium inapunguza solidium ambayo inaongeza pressure hivyo ndizi za kuiva zinapunguza pressure. Vitunguu sio ukweli vitunguu vinatumika zaidi kutoa uchafu mwilini
2. Punguza au acha kula nchumvi chumvi ina nyonya maji mwilini kwa kuwa na solidium nyingi sana na hivyo kufanya pressure iende juu hii ni muhimu sana.
3. Fanya mazoezi
4. Kunywa maji mengi