Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

Amina.... nilikuwa nazunguka na fundi wangu ila kazi yake niliona ni kusifia tu kila pkpk inayoletwa kwamba hii ni nzuri, hii ni machine.....dadeki
Fundi ni Kama dalali yeye anataka ununue apate chake. Yatakayokukuta hayumo.
 
Daaah shukrani sana, hakika nimepata elimu na pa kuanzia, shukrani tena.
 
Na kwenye Gari pia ni hivi hivi? Naona kama unajua mambo mengi. Tuelimishe Mama Naa
 
TRA hawawezi kukosa kujua Kodi kwani Piki piki imesajiriwa na inakuwa kwenye mfumo. Sidhani kama wanahitaji Mmiliki wa mwanzo kujua Kodi ya Chombo
 
kimsingi umetoa ufafanuzi mzuri.. atakuwa kaelewa
 
Well
 
Duh ila nao wezi 10% ya mauzo ya nini wakati walishachukua kodi yao.
 
Ubarikiwe ninja.
 
UKIFUATA MAELEKEZO YA HUMU WEWE HUWEZI NUNUA PIKI PIKI KWA MBONGO PIKI PIKI KWA MBONGO MAREKEBISHO LAZIMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…